Israil Taifa Teule Lililobarikiwa na Mungu

Israil Taifa Teule Lililobarikiwa na Mungu

Wengi wanafata mapokeo ila hata biblia hawasomi maana hata Yesu alisema ufalme utahama mashariki ya kati (israel) na kwenda taifa litakalo mzalia Muumba matunda yake.

Mathayo 21:43
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.

Na imeshatokea sasa Tanzania ndilo taifa Baba na Chanzo cha Baraka kwa mataifa yote.
 
Wengi wa wakristo wenye ushabiki kindakindaki si kua wanaipenda san Israel ila ni kua wanauchukia sana Uislam
uislam ni adui wa israel, OIC huwa inaitisha wito kuikabili israel
 
Back
Top Bottom