Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Mtangazaji wa ITV na Radio one bwana Isaac Gamba huwa ananiacha hoi kwa tabia yake ya utangazaji ya kukatakata(yaani ana weka "pozi" mahali pasipotakiwa kuweka) katika sentensi, sasa sijui ni staili tu au ni kigugumizi!? ukimsikiliza kwa harakaharaka wakati mwingine unaweza umwelewe tofauti.
Mfano wa maneno ambayo nimemsikia akiweka pozi na kuchanganya habari ni kama ifuatavyo.....,
...Uhusiano kati ya Uchi.....na Taiwan
...Kazi hiyo ya kuku...................sanya maoni ...
...Mamlaka ya usafi....................riwa anga...
...Ulaji wa mbo....................gamboga kwa afya...
...Rais Kikwete alifua............tana na waziri mkuu..
...Mpambano kati ya Mbwa...............na Matumla
...Raisi Kikwete na uongo...........ziwake
Ajitahidi kujirekebisha bwana...