Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 635
kuna yule dada anaitwa Rachel Udoba....huwa akitangaza habari mawazo yake yanakuwa hayapo pale...anakuwa na mawazo yake mengine,anakufanya msikilizaji usubiri kusikiliza anataka kusema nini....very boring
Yaani ndugu yangu watangazi wengine! unaweza kushangaa ukafa! sijui wanapataje kazi!
Hilo la gamba unaweza kuliandikia thiori rahisi tu....hivi joyce mhavile anauhusiano wa kimapenzi na nani?
Mmmmm! mku kama unajua, jibu mwenyewe please!!
Halikuwa swali mkuu, ukiangalia vizuri kwesheni maki ilikuwa inawekea uzito zile haipothesi
Haya maneno yamenifanya nicheke sanaaaana, ila ni kweli mala nyingi huwa anatamka hivyo.Mtangazaji wa ITV na Radio one bwana Isaac Gamba huwa ananiacha hoi kwa tabia yake ya utangazaji ya kukatakata(yaani ana weka "pozi" mahali pasipotakiwa kuweka) katika sentensi, sasa sijui ni staili tu au ni kigugumizi!? ukimsikiliza kwa harakaharaka wakati mwingine unaweza umwelewe tofauti.
Mfano wa maneno ambayo nimemsikia akiweka pozi na kuchanganya habari ni kama ifuatavyo.....,
...Uhusiano kati ya Uchi.....na Taiwan
...Kazi hiyo ya kuku...................sanya maoni ...
...Mamlaka ya usafi....................riwa anga...
...Ulaji wa mbo....................gamboga kwa afya...
...Rais Kikwete alifua............tana na waziri mkuu..
...Mpambano kati ya Mbwa...............na Matumla
...Raisi Kikwete na uongo...........ziwake
Ajitahidi kujirekebisha bwana...
Haya maneno yamenifanya nicheke sanaaaana, ila ni kweli mala nyingi huwa anatamka hivyo.
hahaha kweli wewe mzizi wa mbuyuMtangazaji wa ITV na Radio one bwana Isaac Gamba huwa ananiacha hoi kwa tabia yake ya utangazaji ya kukatakata(yaani ana weka "pozi" mahali pasipotakiwa kuweka) katika sentensi, sasa sijui ni staili tu au ni kigugumizi!? ukimsikiliza kwa harakaharaka wakati mwingine unaweza umwelewe tofauti.
Mfano wa maneno ambayo nimemsikia akiweka pozi na kuchanganya habari ni kama ifuatavyo.....,
...Uhusiano kati ya Uchi.....na Taiwan
...Kazi hiyo ya kuku...................sanya maoni ...
...Mamlaka ya usafi....................riwa anga...
...Ulaji wa mbo....................gamboga kwa afya...
...Rais Kikwete alifua............tana na waziri mkuu..
...Mpambano kati ya Mbwa...............na Matumla
...Raisi Kikwete na uongo...........ziwake
Ajitahidi kujirekebisha bwana...
Mtangazaji wa ITV na Radio one bwana Isaac Gamba huwa ananiacha hoi kwa tabia yake ya utangazaji ya kukatakata(yaani ana weka "pozi" mahali pasipotakiwa kuweka) katika sentensi, sasa sijui ni staili tu au ni kigugumizi!? ukimsikiliza kwa harakaharaka wakati mwingine unaweza umwelewe tofauti.

Tom Chilalala haaaaaa???.