Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Mi sio mtaalam wa diplomasia lakini najua vita ya maneno humalizwa kwa wahusika kukaa pamoja kujadili tatizo na kulimaliza. Nashauri rais Kikwete amwalike Kagame, wajifungie Magogoni waongelee hii issue na iishe once for all. Huko '"chamber" rais Kikwete anaweza kumshauri Kagame better way ya ku deal na Waasi na nina hakika baada ya hapo things will be better.
Kufanya hili kutaongeza heshima ya Rais wetu kwa kuonesha hekima na Kagame akikataa basi kila mtu atajua ni mtu wa aina gani. Kwa kufanya Hivi, JKM atabaki kuwa Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wetu. Hatapungukiwa na kitu na heshima itaongezeka.
Kutafuta nani kakosea katika public au ushauri wa nani ulipaswa ufanywe vipi haisaidii kwa kuwa kuna kutokuelewana kwa lugha kati yao. Kukutana ni better way ya ku deal na misunderstandings
Meekness does not mean weakness and It takes a strong man to swallow pride!
Nionavyo mimi.
UPDATES
Rais J. Kikwete ameonesha kuwa ni imara kwa kukubali maongezi kumaliza hii issue. Hii haina maana kuwa anataka "kutubu" wala kuwa "anaomba suluhu" bali ni kutaka amani! Hongera sana Mhe. Rais!
"President (Kikwete) has asked the Ugandan President, Yoweri Museveni, to see how this matter can be resolved," Tanzanian Prime Minister Mizengo Pinda said in parliament when asked about how the government was dealing with the Rwandan issue"
http://www.reuters.com/article/2013/08/29/us-tanzania-rwanda-idUSBRE97S11S20130829