Issue ya Kikwete, Kagame, Rwanda na Tanzania: Ushauri wangu


I agree with you 100%, but, 'TN THIS PARTICULAR CASE, IT IS KAGAME WHO HAS TO SWALLOW HIS PRIDE AND NOT OTHERWISE!'
 
I think Stefano Mtangoo i am pressed to say that you don't know who is Kagame,and before come here with your cheep Philosophic you shall know him very well!na dharau zako!Mimi kwa ushauri huo sikubaliani nao kabisa bora waache kuliko kwenda kujivua nguo!je asipokwenda na asipo kubali kuja akaendelea na upuuzi wakwe kwenye vyombo vya habari unadhan aibu inarudi kwa nani??Mimi sishauri Rais wangu kwenda kwenye vikao vya maridhiano wakati yeye hana sababu unadhani angekuwa W.B.Mkapa angethubutu kutoa hizo kashfa zake?????
 
I think Stefano Mtangoo i am pressed to say that you don't know who is Kagame,and before come here with your cheep Philosophic you shall know him very well!na dharau zako!
Mh! hapo kwenye red, sina kawaida ya kumdharau mtu. If you felt that way, I do apologize.
I like to discuss things in decent manner!

Aibu itarudi kwa Kagame, kwamba ni mpenda ugomvi.
Aibu itarudi kwa Kagame kwamba sio tu hakumuelewa JK alichomaanisha bali ana agenda yake binafsi.
Aibu itarui kwa Kagame kwamba ameshindwa ku act kama head of state kwa Manufaa ya Wanyarwanda.

Rais Kikwete hana cha kupoteza zaidi ya kupata heshima zaidi kwa kufanya yaliyo ktk uwezo wake kuhakikisha ukanda wetu una amani bila migogoro!
 

Lakini mwaka 1995 hayati Mwalimu alituhasa lakini 2005 hatukutaka kukumbuka wala kusikia!!! Sasa tumepanda mahindi kwa nini tutake kuvuna maharage?!
 
Lakini mwaka 1995 hayati Mwalimu alituhasa lakini 2005 hatukutaka kukumbuka wala kusikia!!! Sasa tumepanda mahindi kwa nini tutake kuvuna maharage?!
Unaweza fafanua hii statement? Any link to Mwalimu's exhortation?
 

sikuungi mkono hata kidogooooo..

Hapa diplomasia inakaa pembeni tunatumia busara za kitaa...its good for graduates from the university of hardknocks...elimu mtaani dot com

mjinga deal naye kipuuzipuuzi tuu...huyu kagame amekataa kuongea na ndugu zake wa fdlr iweje akubali kuongea na sisi anaotuita "genocides sympathizers"??...sie tulimshauri tuu tena mbele ya kikao cha kujadili amani maziwa makuu ushauri ambao hata m7 au hata kenyata angeweza kuutoa..yeye akainuka na kututukana na tena amemtumia "binti kututukana"...hii ni dharau kubwa na hasa kwa malezi yetu ya kiafrika na mfumo dume kwa ujumla...

Na hata mzee wa jirani hapo nyumbani kwenu akisikika anatamba kuwa atamshikisha adabu baba yako mzazi wewe mtoto wa kiume wa kwanza wa familia unatakiwa uanze kuingia gym tayari kwa kumuwahi huyoo mzee mlevi wa jirani aliyemdhalilisha babako kwa mawazo, maneno, baadae atafanya vitendo na mwishowe atatimiza wajibu wa kumchapa babako mzazi.

Mkosefu anatakiwa ajuwe kosa lake kisha aombe msamaha kwa yuleee aliyemkosea..full stop. Niambie kosa la rais wetu ni lipi mpaka amuite kagame ikulu kwetu aje na ndege yake achafue mazingira ya anga zetu aje na watu wake wachakaze makochi yetu pale ikulu.....hell noooo.

Kagame haitaji kuongea na sisi "as long as we are in goma and fighting his looters under the name of m23"..cut the story short...kagame must go for better and later the best eac..or else we must get-out of that "hot kitchen" of eac with rwanda uganda and kenya..later on somalia and juba.

Napinga hoja na kama mtanzania halisi....rais alitangazie taifa na jeshi kuwa kwenye "stand by mode" kwa sababu naona sio rwanda tuu bali yunatakiwa kujiandaa kukabiliana na hawa wooote wanaotuchukia kisa tumewanyima ardhi yetu kwa kigezo cha jumuiya ya africa mashariki..

Jk=julius kambarage =jakaya kikwete tunaomba utangaze kuwa "nia tunayo, uwezo tunao na sababu tunazo..ila tuu tunalinda heshima yetu ya kuwa wavumilivu na muda si mrefu uvumilivu utatushinda na tutaonyesha uwezo wetu kwa nchi yoyote itakayogusa maslahi ya taifa letu kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni..mungu ibariki africa mungu ibariki tanzania"
 
sidhani kama ni issue kubwa kiasi wahitaji mtu wa tatu. Wanaweza ongea tu kwenye siku wakaweka appointment and then wakayaongea yalivyo, kila mtu akaridhika na yakaishia hapo.

you take serious things very lightly...anyway...hawa watu ni viongozi wa nchi na nyuma yao wana washauri wasiopungua 100 so hawezi kuamka na kupiga simu kirahisi namna hiyo..na mbaya zaid mtu kiburi kama mtutsi kagame..haitokaa itokee labda akiwa marehemu.

Jeuri rafiki yake kiburiiiiii...mwaga mboga nimwage ugaliiii....huyu tall tutamnasa mahala padogo tuuu....tukiwatoa m23 tunaingia rwanda tunamtoa kagame...utaona mambo yote yanabadilika.

Kagame is a bitch ass nigger...too scared of our jwtz commandos. And he knew with jwtz forces in goma the game will soon change n he will immediately feel the punch under the belt in term of economical growths subsidized with minerals looted from goma drc.
 
Unaweza fafanua hii statement? Any link to Mwalimu's exhortation?

Naomba siku nyingine usiwe mvivu wa kutafuna information kama wakati jambo lililotokea ulikuwa mdogo au hujazaliwa au haukusikia. Sasa hivi ICT imebeba kila kitu na unatafuta na kupata kwa muda mfupi. Sasa sikiliza video hiyo

[video=youtube_share;bQuy-njrnKo]http://youtu.be/bQuy-njrnKo[/video]


[video=youtube_share;-plHR2O8Ue4]http://youtu.be/-plHR2O8Ue4[/video]


[video=youtube_share;92mpI-ablNM]http://youtu.be/92mpI-ablNM[/video]


[video=youtube_share;U-D6b38TlFk]http://youtu.be/U-D6b38TlFk[/video]
 
Naomba siku nyingine usiwe mvivu wa kutafuna information kama wakati jambo lililotokea ulikuwa mdogo au hujazaliwa au haukusikia.
These was all unnecessary. Hujazaliwa 1995????

Anyway nashukuru kwa information.
 
Sasa kafunga mpaka wake kasema magari yenye uraia wa Tanzania ni dola 500,kutoka dola 152 Je hapo kuna sababu ya kumuonea haya huyu mshenzi Kagame?hadi kuitisha suluhu naye jamni Stefano Mtangoo??alichosema ndugu yango hapo Who Cares? ni sahihi!Kwakuwa ndiyo maana pale mwanzo nikasema Kagame ni mshenzi siyo mtu wakusema naye kwenye usuluhisho hata huyo waliyemchagua kufanya naye mazungumzo siyo right person M7 na PK lao nimoja!
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza
Urais ni kazi ngumu sana, haihitaji jazba bali subira na wakati mwingine kwenda extra mile kama ina faida kwa Taifa na Watu unaowaongoza. Kwangu mimi Move hii anayoifanya JK ina manufaa kwa Watanzania na Tanzania na hata Wanyarwanda wenyewe. Na nina msupport Rais wangu kwa hili.

Vita iwe ya namna yeyote kwa Rais huwa ni last option baada ya yote kushindwa.
Kikwete angetaka vita well angeweza (Ni Amiri Jeshi mkuu right?) lakini hii njia aliyotumia ndio hekima zenyewe za Kiuongozi.
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza
Urais ni kazi ngumu sana, haihitaji jazba bali subira na wakati mwingine kwenda extra mile kama ina faida kwa Taifa na Watu unaowaongoza. Kwangu mimi Move hii anayoifanya JK ina manufaa kwa Watanzania na Tanzania na hata Wanyarwanda wenyewe. Na nina msupport Rais wangu kwa hili.

Vita iwe ya namna yeyote kwa Rais huwa ni last option baada ya yote kushindwa.
Kikwete angetaka vita well angeweza (Ni Amiri Jeshi mkuu right?) lakini hii njia aliyotumia ndio hekima zenyewe za Kiuongozi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…