Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Umenifurahisha umetuletea uzi halafu hapo hapo ukamwaga hisia zako, anyway hata mimi sijapenda alichofanya huyo mwenye kuitwa "Tz sweetheart"alipaswa ajitetee yeye kama yeye kwamba hahusiki na sio kumchoma mwenzie
 
Binamu issue ni hivi, siku zote walikua wapi kumtaja masogange? why akamatwe baada y wema kumtaja? we all know issue ya masogange in SA, na ilishaisha ila wema kairudisha, wema hajatenda haki kwa msichana mwenzie ,kamuaribia
Umrshaambiwa zipo awamu saba, unajuwaje kama awamu hii Ya Tatu masogange nae alikuwa kwenye list? We dada sijui Kaka acha unafki Mungu anakuona.
 
Tatizo bongo movi wanachukiana mpaka wana lose comon sense,wale wote walioitwa watu wametangaziwa kwamba wamewekwa katika makundi kama matatu,wauzaji,wasafirishaji na watumiaji,so kwa watumiaji walichotakiwa kufanya ni kusema wanapotoa na pia kueleza kama wanamjua yeyote mwenye kujiusisha na biashara yamadawa kwa njia moja ama nyingine,in that case Aggy inawezekana katajwa na kila mtu,Wema anaweza kua kamtaja kwenye interview so as the others,ila sasa jumba bovu linamuangukia kutokana na ile audio wakati ana gossip na rafiki zake,again ni kitu ambacho nikawaida kwa wadada kufanya kumbe anarekodiwa na audio kutoka so now anaonekana mbaya ni yeye.,doesn't make sense
 
ila hii hata wasimulaumu mtoto wa sepetu bure, nani asiyejua kwamba masogange alikamatagwa na madawa ya kulevya? huyo nae uwoya hana jipya tu, aendelee kukodoa jicho lake kubwa ka nyanya chungu za rwanda....
Sasa Kama Baba yako alifumwa ana.... na jamaa ni kwamba utaendelea kumuita ahaaa Shg wakati ilikuwa zamani, usihukumu kwa mambo ya zamani labda Mzee wako aliacha
 
Kwahiyo wewe unyoya ulitaka huyo masonini sijui aendelee kawauzia watoto wetu misumu ya ubongo kisa ana uhusiano na mungu mdogo?Acha zako hizo. Kama mafanikio yenu ni kwa njia haramu ni lazima mlipe
 
Kwahiyo wewe unyoya ulitaka huyo masonini sijui aendelee kawauzia watoto wetu misumu ya ubongo kisa ana uhusiano na mungu mdogo?Acha zako hizo. Kama mafanikio yenu ni kwa njia haramu ni lazima mlipe
Utetezi huo kwa Masonini ni kuonyesha kwamba Uyowa naye yumo. Sasa kapata hofu. Kwa nn utetee uhalifu... Haya sasa tutaona ile.. ..Aggy.. Njoo!
 
Sasa Kama Baba yako alifumwa ana.... na jamaa ni kwamba utaendelea kumuita ahaaa Shg wakati ilikuwa zamani, usihukumu kwa mambo ya zamani labda Mzee wako aliacha
ila historia uw haifutiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…