Mungu hamfichi mnafiki!! Juu umeandika vizuri kujifanya ni simba mwisho Muumba kakuumbua umeandika " simba ni zaidi yetu"[emoji23][emoji23]Kwa akili yako mo atoe b 20 hivi hivi. Mo anatupiga wana simba. Tunataka hesabu za kifedha sio kulalamika anapata hasara. Mbona yanga wanapata faida. Na simba wako juu zaidi yetu.
Omba vitu vyote ukose ila usikose akili mkuu.Unakosea sana kuhusisha yanayotokea simba na timu zingine. Msemaji msitaafu ana mapungufu yake lakini katika aliyoyaongea kuna mengne ya ukweli
Hahahaaa, wabongo bana. We shabiki unapigwa nini? Kwani timu hua ina mgao wa hela kwa shabiki?? MO afanye anavyofanya, as long as timu inashida hakuna anayejali.. Furaha ya shabiki ushindi tu, hayo mengine mbwembwe, wivu na unafki.Kwa akili yako mo atoe b 20 hivi hivi. Mo anatupiga wana simba. Tunataka hesabu za kifedha sio kulalamika anapata hasara. Mbona yanga wanapata faida. Na simba wako juu zaidi yetu.
Watayakumbuka haya ya Manara kaka.Mo mfanyabiashara watu wakizubaa wanapigwa.
Wewe uliza Yanga haina makombe mwaka wa ngapi? Yanga haijashiriki michuano ya kimataifa kwa muda gani?Kwa akili yako mo atoe b 20 hivi hivi. Mo anatupiga wana simba. Tunataka hesabu za kifedha sio kulalamika anapata hasara. Mbona yanga wanapata faida. Na simba wako juu zaidi yetu.
Open your mind broh!Eti "Mnapigwa!" Ulishawahi kununua hata soksi jozi moja kwa ajili ya mchezaji wa Simba?
Mbona binadamu hatuna shukrani? Hivi bila uwepo wa huyo Mo, hii Simba ya leo ingekuwa kama ilivyo leo?
U have to upen your mind also coz,,, ili simba inufaike labda wewe ulitakaje coz kama ni vikombe imebeba vingi tu tangu mo achukue timu au labda wewe ulitaka kila mshabiki awe na mgao wake pale simba labda au mafanikio gani unayoyazumnguzia hapa labda naona mnateseka sana na uwekezaji wa mo pale simba mpaka mnadroo tena leo utapu tapu fcOpen your mind broh!
Simba imefka hapo ilipo, Simba imenufaika ama ni Mo ndo amenufaika.
Kama ni Mo ndo amenufaika, ni nini sababu ya kufanya yale mabadiliko ya kimfumo ktk uendeshwaji wa Club?
Kigwangala alisema kabisa kwamba kuna ujanja na kuna ujanja ujanja kwenye uwekezaji wa mo pale simba na pengine kuna mazito zaidi yamejificha kwenye huu uwekezaji ni suala la muda tu kila kitu kitajulikanaUkweli anachokifanya Moo ni kuhakikisha watu ambao wanaweza leta upinzani wa yeye kufanya maamuzi ndani ya Simba waondoke wabaki mafala ambao kila anachosema wanaitika yes
Nkwambi alihoji moo analipa kias gan kiweka matangazo kwenye jezi akawekewa zengwe
Mo anasema anatoa bil 5 kila mwaka
Iv mapato yanaenda wap?
Pesa ya wadhamin inaenda wap?
Mauzo ya jezi yanaenda wap?
Hela ya caf inaenda wap?
Yanga juzi wametoa mapato na matumizi inaonekana wamepata faida japo ni kdg
Lini Moo atatoa mapato na matimizi ili tuone kweli anatoaga hela simba na tujue analipa kias gan kwa matangazo yake kwenye jezi
Moo nakwambia endelea kuona watu mafala wanakuvumilia sababu timu inafanya vzr ila ikikosea Simba ikayumba kwenye matokeo ndo utawajua Watanzania na utaeleza ukweli
Yanga nwashaur msikubali mwekezaji mmoja kuwen nao wawili au watatu ili kwenye maamuzi asifanye mmoja kuwe na kuhojiana
Simba wangekuwwpo wawekezaji wawili tungejua mapato na matumizi/ tungejua moo analipa kias gan kwenye matangazo na babra asingeifanya simba ya moo
Nimemaliza ila kaa mjua simba ni bomu ambalo halijalipuka
Mwamedi ni tapeli la kimataifaView attachment 1879738
Pole sana
Nimeamua kuamia yanga sitaki timu ya matapeli. Simba imekuwa timu ya kitapeli.Eti "Mnapigwa!" Ulishawahi kununua hata soksi jozi moja kwa ajili ya mchezaji wa Simba?
Mbona binadamu hatuna shukrani? Hivi bila uwepo wa huyo Mo, hii Simba ya leo ingekuwa kama ilivyo leo?
Mungu hamfichi mnafiki!! Juu umeandika vizuri kujifanya ni simba mwisho Muumba kakuumbua umeandika " simba ni zaidi yetu"[emoji23][emoji23]
Nyani hata akijitaidi kutembea kama binadamu bado ni nyani TUMungu hamfichi mnafiki!! Juu umeandika vizuri kujifanya ni simba mwisho Muumba kakuumbua umeandika " simba ni zaidi yetu"[emoji23][emoji23]