Issue ya Trey songz ilikuwa kiki tu , Jux na Vanessa mdee kuachia collabo yao mpya

Issue ya Trey songz ilikuwa kiki tu , Jux na Vanessa mdee kuachia collabo yao mpya

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Baada ya kuzagaa picha na video tata kati ya vanessa mdee na msanii trey songz kutoka marekani imebainika ni kiki tu
Vanesa mdee na mpenzi wake jux hivi karibuni wanatarajia kuachia collabo yao mpya , hii itakuwa nyimbo yao ya kwanza ya pamoja tangu wawe wapenzi
Nyimbo hiyo inaitwa juu
1475484069429.jpg
 
Wanake walilaniwa na kupewa akili kama za nyoka.....hapa jamaa inawezekana kapewa ambacho hajawai pewa, kakubali yaishe.
 
nani alikua anatafuta kiki trey au vanessa...maana kuna vineno katupia trey kwenye ile picture sio lazma uwe na degree kuelewa ninin kinaendelea
 
hakuna kiki za kumegewa, Jux we vumilia tu maana hainaga makombo
 
jay z nae alikuwa anatafuta kiki kwa rihanna kipindi kanatoka
 
Wajameni Trey Songwe ndio nani?
 
ah wew acha kufanya sis watoto wew, vanesa kesha tafunwa tena kapgwa dudu na mshkaji, sema tu jux nae ndo mahaba niue hvo hana ujanja
 
Aliliwa tu vanessa hawezi chomoa kwa trey songs anaanzaje kwanza?
 
Back
Top Bottom