survivor03
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 131
- 21
Wakuu mambo vipi, nasikia siku hizi kuna waheshimiwa fulani wanakuunganishia kazi kiulaini lakini mwisho wa mwezi unapopokea mshahara wako unampatia commission yake mliyopatana, wakuu naomba kwa anayewajua hao waheshimiwa tujulishane..Maana siku hizi hata ukiwa qualified vp kazi hupatikana kwa kujuana.. 0715388666:cell: