Car4Sale IST inauzwa bei 6.5M

kuna million nne hapa kamanda...namba c km 175,000 imeshapitwa ...watu wanacheza chini ya km laki 1 na tunaelekea namba E Now
 
Haina dosari yeyote....lakini mimi naona kuna ka shida mbele na pembeni...
 
Hii gari Kama ilikuwa ya jamaa mmoja Moro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…