IST vs Runx

IST vs Runx

Runx ni Corolla, which makes it very strong, na ndani ina muonekano mzuri. Ile speedometer ya IST iliyokaa katikati inaboa. Ila IST ndani inakuwa juu kidogo, unakuwa kama umekaa kwenye crossover SUV kuliko Runx ambayo unakuwa chini. Overall, hazina tofauti kubwa kwenye uimara. Ila binafsi nina recommend IST, ile model ya kwanza.
 
Runx ndani inamuonekano mzuri sana kuliko ist especially pale kwenye dash....
Lakini pia runx inavumilia shida kuliko ist...
Tatizo la runx ni pale nyuma ina muonekano mbaya inakuwa kaka kuku aliyenyonyolewa mkia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kweli tunatofautiana. Lile tako la runx ndo lililonipa mzuka wa kuchukua enzi izo. Ist imepigwa pasi Sana nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Runx ndani inamuonekano mzuri sana kuliko ist especially pale kwenye dash....
Lakini pia runx inavumilia shida kuliko ist...
Tatizo la runx ni pale nyuma ina muonekano mbaya inakuwa kama kuku aliyenyonyolewa mkia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi runx inanitia mzuka yote nje na ndani na kwakweli ni gari tamu. Naitumia na nikiichoka naiuza na kununua tena runx
 
Back
Top Bottom