IST ya bei nafuu inahitajika

IST ya bei nafuu inahitajika

Bexb

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
715
Reaction score
1,619
Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi.
🐒Iwe Dar au jirani na Dar
🐒Isiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine
🐒BEI ISIZIDI 7M
🐒Nitapenda niuziwe na mwenye gari, iwapo utakua ni dalali basi hakikisha umemalizana na boss wako na uwe unaijua gari sio kampa kampa tena.

Nitumie picha na location ya gari ilipo kwa WHATSAPP 0755963775
 
Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi.
[emoji205]Iwe Dar au jirani na Dar
[emoji205]Isiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine
[emoji205]BEI ISIZIDI 7M
[emoji205]Nitapenda niuziwe na mwenye gari, iwapo utakua ni dalali basi hakikisha umemalizana na boss wako na uwe unaijua gari sio kampa kampa tena.

Nitumie picha na location ya gari ilipo kwa WHATSAPP 0755963775

Kila la heri japo si rahisi
 
Nashkuru sana wakuu, tayari nilipata
 
Back
Top Bottom