1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Ukitumia application video zinaplay bila kuziruhusu,, ila ukiingia kwa kutumia website yao moja kwa moja,, utakuwa huru ku play video au lah,, issue ni bando sio kuingia,Utofauti upo wapi mana kote ni insta umeingia
[emoji23]Mkuu hupendi kuona wakina Sanchoka
Uthitubitu mm nimefuta hadi app yaoToka uzaliwe mtandao huu mm umenishinda tabia kbsa,sijashawishika kujiunga kabsa,
Maana naona kwny account za marfk zangu,naona wanawake tlwenye vinguo vya kubana tu na video za ovyohovyo. Na marafiki zangu wananiambiaga habari za umbeumbea tu...ukiuliza source wanasema intsa,pumbafu thaana.
Huwa nawashangaa sana wanaume walioko insta na snapcht.
Wewe mwanaume wa miaka ya 1960_1985
Alafu upo insta na snapchat,kuna mahali fuse ya kwenye ubongo,imekatika.
Nafikiri hujui kanuni za ulimwengu wa mitandao, kanuni ni kwamba dunia sinia pakua unachoweza.Toka uzaliwe mtandao huu mm umenishinda tabia kbsa,sijashawishika kujiunga kabsa,
Maana naona kwny account za marfk zangu,naona wanawake tlwenye vinguo vya kubana tu na video za ovyohovyo. Na marafiki zangu wananiambiaga habari za umbeumbea tu...ukiuliza source wanasema intsa,pumbafu thaana.
Huwa nawashangaa sana wanaume walioko insta na snapcht.
Wewe mwanaume wa miaka ya 1960_1985
Alafu upo insta na snapchat,kuna mahali fuse ya kwenye ubongo,imekatika.
Sawa nimekupata ulichokua unamanisha!! Basi Unafuu upo kweny site zaid mana mimi 1gb sikatiz nayo masaa 4 insta tu hlf nime-follow page nying sana hivy ilikua inaniumiza kweny bando, nihamie site!!Ukitumia application video zinaplay bila kuziruhusu,, ila ukiingia kwa kutumia website yao moja kwa moja,, utakuwa huru ku play video au lah,, issue ni bando sio kuingia,
Hivi kumbe naye idriss sultan ni mchekeshaji, ndiyo najua Leo!Hata mm mkuu Instagram nimeanza kutumia mwaka jana nikaona naenjoy sana kuliko fb na social network zingne.
Ila ni Kama ulivyosema inategemea umewafollow watu gani.
Mm ni mpz sana wa Comedy yaani napenda kufurah kuongeza siku za kuishi.
So nimewafollow watu kama akina Anko Zumo,Idriss Sultan na wanasiasa wachache kwa ajili ya kupata updates za nchi inavyokwenda plus na media chache Kama itv,azam na BBC kwa ajili ya kuhabarishwa.
Yes huwa anafanya ile wanaita standing comedy.Hivi kumbe naye idriss sultan ni mchekeshaji, ndiyo najua Leo!
Insta inategemea ume-follow nini ndicho utakachopata pata.....hauwez pewa news nje ya circle ya ku-follow kwako so insta haina ubaya bali ubaya unatokea kichwani kwa mtu!! Nime-follow pages za kutosha ambazo hakuna udaku hata tone, na mimi ndy nafurahia hvyo so hapo mtu hawez niambia insta ni mbaya wakat napata mambo meng ya msing kupitia hizo pages! Na insta wao wanakupa pia related news kulingana na ulicho-follow!!Toka uzaliwe mtandao huu mm umenishinda tabia kbsa,sijashawishika kujiunga kabsa,
Maana naona kwny account za marfk zangu,naona wanawake tlwenye vinguo vya kubana tu na video za ovyohovyo. Na marafiki zangu wananiambiaga habari za umbeumbea tu...ukiuliza source wanasema intsa,pumbafu thaana.
Huwa nawashangaa sana wanaume walioko insta
Kila MTU nafikili aheshimu mawazo ya mwingine kule kuvichaa wengi sana wengine wanajiunga kwenye acc. Yako bila ww kujua kunashoga mmoja anajiita James delicious kuna kahaba mwingine anajiita mange wanatukana watu kutwa nzm sio wazee wala viongozi Wa dini mm nimesema BIG NO BIG NO nimekologa PW ili nisiludi tena Na kile kiapp nimetuma maombi PLAY STORE NA GOOGLE WAFUTE KWENYE SIMU wapumbavu sana
Kunawatu wanatuma vitu Vingi Vya kijinga ukigusa tu bando chali
Itakuwa madamu alimfundisha!Yes huwa anafanya ile wanaita standing comedy.
Lkn mbali na hvyo huwa ni mtu wa vituko vituko tu japo sio official.
Kila MTU nafikili aheshimu mawazo ya mwingine kule kunavichaa wengi sana wengine wanajiunga kwenye acc. Yako bila ww kujua kunashoga mmoja anajiita James delicious kuna kahaba mwingine anajiita mange wanatukana watu kutwa nzm sio wazee wala viongozi Wa dini mm nimesema BIG NO BIG NO nimekologa PW ili nisiludi tena Na kile kiapp nimetuma maombi PLAY STORE NA GOOGLE WAFUTE KWENYE SIMU wapumbavu sanaInstagram mimi napasikia tu.
Hahahahahaha! Safi saana aisee.Kila MTU nafikili aheshimu mawazo ya mwingine kule kunavichaa wengi sana wengine wanajiunga kwenye acc. Yako bila ww kujua kunashoga mmoja anajiita James delicious kuna kahaba mwingine anajiita mange wanatukana watu kutwa nzm sio wazee wala viongozi Wa dini mm nimesema BIG NO BIG NO nimekologa PW ili nisiludi tena Na kile kiapp nimetuma maombi PLAY STORE NA GOOGLE WAFUTE KWENYE SIMU wapumbavu sana
Kila MTU nafikili aheshimu mawazo ya mwingine kule kuvichaa wengi sana wengine wanajiunga kwenye acc. Yako bila ww kujua kunashoga mmoja anajiita James delicious kuna kahaba mwingine anajiita mange wanatukana watu kutwa nzm sio wazee wala viongozi Wa dini mm nimesema BIG NO BIG NO nimekologa PW ili nisiludi tena Na kile kiapp nimetuma maombi PLAY STORE NA GOOGLE WAFUTE KWENYE SIMU wapumbavu sanaMwanzoni nilikuwa Naichukia sana lkn nilipoanza kuitumia mwaka huu natamani nisiiache.
Instagram inategemea na wewe umefollow nani, ukifollow page za Ki daku km sio mdaku lazma utaumia ila Mimi nimefollow wachache tena za mpira chache za habari . lla bando 2gb unatumia ndan ya siku tatu
Jmn nisaidie huu Uzi umehamishiwa Jukwaa gn sioniMimi niliachananayo 2015 maana nilikua namaliza MB's zangu ku like yule alikufa (Official Agnes). Huyu alikua anapenda kupiga selfie msambwanda.
Niliachana na Instagram kabla hajafa ila namba yake ilikua imesha chukuliwa na Sanchoka (hakuacha pengo)
Wewe umewezaje kucomment hapa bila kuona jukwaa!Jmn nisaidie huu Uzi umehamishiwa Jukwaa gn sioni