Umewahi kuweka Uzi JF?? Watu wakichangia unapewa mrejesho lkn unaweza usijui Uzi upo wapi Na kinyume chake watu wasipo komment unaweza usijui ulipoteajeWewe umewezaje kucomment hapa bila kuona jukwaa!
Uzi upo JF chit-chat (uwe unaangalia juu ya title ya uzi utaona ni jukwaa gani)
Itakuwa JalalaniNdio wapi huko kwani...!!??
Nimekusikia Professor.... teh[emoji23][emoji23]Itakuwa Jalalani
Njoo PM tuimalize mikopo kama we ni SHEMm Nina account huko ila nakaa hats mwezi cjagusa kuna limkopo nililichukua sehem linanitesa hats bando linanishinda kununua
Kuna page nzuri tu kule hutajuta.
Active_mamaz
Jifunze_mapishu
jamiiforums
vitenge_tz
hosymichael
punguza_uzito_bila_dawa
used_itemz
afya_tz
thinkgrowporosper
few to mention
Mwanzoni nilikuwa Naichukia sana lkn nilipoanza kuitumia mwaka huu natamani nisiiache.
Instagram inategemea na wewe umefollow nani, ukifollow page za Ki daku km sio mdaku lazma utaumia ila Mimi nimefollow wachache tena za mpira chache za habari . lla bando 2gb unatumia ndan ya siku tatu