iStore Tanzania: Je, hawa ni authorised apple reseller?

iStore Tanzania: Je, hawa ni authorised apple reseller?

Mbute na chai

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
564
Reaction score
593
Habari wakuu.

Ninataka kuagiza bidhaa ya apple online kutoka hawa jamaa. Je, kuna mtu alishawahi kununua kwao? Ni kweli wao ni wauzaji wa bidhaa za apple waliyoidhinishwa na kampuni ya apple, nisije nikaingia mkenge?
 
Back
Top Bottom