Mbute na chai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 564 Reaction score 593 Sep 6, 2023 #1 Habari wakuu. Ninataka kuagiza bidhaa ya apple online kutoka hawa jamaa. Je, kuna mtu alishawahi kununua kwao? Ni kweli wao ni wauzaji wa bidhaa za apple waliyoidhinishwa na kampuni ya apple, nisije nikaingia mkenge?
Habari wakuu. Ninataka kuagiza bidhaa ya apple online kutoka hawa jamaa. Je, kuna mtu alishawahi kununua kwao? Ni kweli wao ni wauzaji wa bidhaa za apple waliyoidhinishwa na kampuni ya apple, nisije nikaingia mkenge?
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,104 Reaction score 29,178 Sep 6, 2023 #2 ohooooo kuwa makini shauri yako
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Sep 6, 2023 #3 Makumbusho.