Naamini kati ya haya magari mawili, Nissan X-Trail ndiyo iko mbele. Kwa magari kama haya, kama unao uwezo wa kununua one of them, suala la mafuta haliji sana kwani uwezo unao wa ku-fuel. Suala liko kwa upatikanaji wa spares na durability wa gari lenyewe which I believe X-Trail iko mbele.

Mie natumia X Trail, asikuambie mtu huo usafiri umetulia sana na kama ni ulaji wa mafuta si mbaya. Ila kuna watu ukiongea nao utasikia wanasema bodi yake ni mayai, sasa kitu cha kujiuliza wanataka bodi kama lorry? halafu watu wengi wanapenda RAV 4, kitu ambacho RAV4 2002 model na kuendelea bei yake iko juu sana hii ni kutokana na wateja wake ni wengi sana.Wakuu wanajamvi waslam aleikum.
Ninaomba msaada kwa mwanajamvi yeyote mwenye uzoefu wa hizi gari aina mbili anisaidie. Haswa haswa kwa Information kama.
1. Ulaji wa mafuta
2. Upatikanaji wa Spare.
3. Durability
.......
.......
.......
......
x trail? anaendesha wapi...bongo?
Nissan ni gari strong ingawa spare zake ghali. Hizo ndo preference zako au ndo options zilizopo tu?
Naamini kati ya haya magari mawili, Nissan X-Trail ndiyo iko mbele. Kwa magari kama haya, kama unao uwezo wa kununua one of them, suala la mafuta haliji sana kwani uwezo unao wa ku-fuel. Suala liko kwa upatikanaji wa spares na durability wa gari lenyewe which I believe X-Trail iko mbele.
Mkuu usichukue yeyote, Bora kanunue Toyota Rav-4, X-Trail na Isuzu haziwezi kuhimili vishindo vya africa. Pia Spear za nissan hazikamatiki kwa bei.
Nakushauri Nissan X trail. Si kweli kuwa spare za Nissan ni ghali, bt Hawazichakachui kama za Toyota, mara zote tofauti si kubwa sana, And ukibadili spare Once wa Toyota atabadili twice to thrice kabla ya next changing ya Nissan. Binafsi natumia Nissan kwa Mwaka wa Sita, Na kipato changu si kikubwa.
Mafuta pia Nissan X trail ni Cc2000, Big horn ni cc3000. Then opt Nissan Xtrail Fasta kaka.
Mie natumia X Trail, asikuambie mtu huo usafiri umetulia sana na kama ni ulaji wa mafuta si mbaya. Ila kuna watu ukiongea nao utasikia wanasema bodi yake ni mayai, sasa kitu cha kujiuliza wanataka bodi kama lorry? halafu watu wengi wanapenda RAV 4, kitu ambacho RAV4 2002 model na kuendelea bei yake iko juu sana hii ni kutokana na wateja wake ni wengi sana.
Chukua Nissan X trail mkuu wala hutajuta.
Kuna sababu RAV4 models za hivi karibuni zinaitwa "Kili-time" kwenye maeneo yenye kuuza vipuri vya magari. Uamuzi wako wa gari utategemea pia aina ya matumizi yako, Bighorn unaweza kulitimba zaidi (suspension wise ni more durable) ukilinganisha na X-Trail ila X-Trail liko more road oriented na ukipata mkeka mzuri utalipenda. Kitu pekee chenye kuboa kwenye X-Trail ni Speedometer kuwekwa katikati ya Dashboard badala ya nyuma ya usukani wa dereva.
Kwa ufupi ni kwamba hakuna gari baya (Yes, hata Mitsu GDI ni zuri tu!) ila mahitaji, matumizi na mifuko ya watu ndiyo inayofanya gari kuwa baya.
I Vote for Nissan XTrail....