M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Anayetaka gari ya kazi achukue hii ISUZU Bighorn, 3,050cc, diesel, 234,000 kms. Gari ngumu Sana na ipo juu inapita popote . Bei 2,500 USD (CIF) mpaka Bandarini Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh Kulikon?Haya mtaani yanaitwa ‘Kubwa Jinga’
😆😆😆😆😆😆😆 mkuu unaua vaibuHaya mtaani yanaitwa ‘Kubwa Jinga’
Hushtuki kwa yako cheap hivyo mkuu? Nyanya hiloAnayetaka gari ya kazi achukue hii ISUZU Bighorn, 3,050cc, diesel, 234,000 kms. Gari ngumu Sana na ipo juu inapita popote . Bei 2,500 USD (CIF) mpaka Bandarini Dar
View attachment 2206685
View attachment 2206686
View attachment 2206687
Lonya sio?Hushtuki kwa yako cheap hivyo mkuu? Nyanya hilo
Kabisa broLonya sio?
Asante Sana kwa taarifaKabisa bro
Kuwa na uchawi sio lazima uwe na matunguri lakini hata kuwa maono yasiyo sahihi ni uchawi tosha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulingana na watengenezaji wa magari hakuna gari mbovu ila wamiliki kutozingatia taarifa za gari ndio shida inapoanziaWabongo tunakatishana Sana Tamaa jamaa ameweka biashara yake lkn comments zote ni kuponda Tu kwa kwenda mbele
DahGereji ndo sehemu ya hiz gari
PoleYananguruma kama trekta
Chembe ya moyo hiyo. Karibu kubwa lakini bei kama ya vits. 😅Gereji ndo sehemu ya hiz gari