Car4Sale Isuzu {ELF} 1989 2WD Inauzwa

stewie

Senior Member
Joined
Sep 30, 2019
Posts
118
Reaction score
281
  • ISUZU (ELF) INAUZWA
  • BEI 27,000,000
  • GARI HAIJATUMIKA SANA IMEPAKIWA -HAINA TATIZO LOLOTE
  • Location Dar es salaam Bunju
Call 0693225605

[emoji843]DETAILS[emoji843]
  • Fuel : Diesel
  • Engine Capacity : 3630
  • Class : inabeba hadi Tani 3.5
  • Gross weight ya gari : Tani 7
  • Transmission : Manual
  • 2 wheel drive
  • Inanyanyuka kwa nyuma (liftgate)

Gari ya mwaka 1989 bei 27,000,000😆
 
Kwa hiyo bei nadhani unaota aise
 
mmh nini umeona nyoka mzee?
Mkuu no comment endelea na biashara, ikifika siku ukaskia MILIONI SI PESA! Ndiyo siku utuza hilo gari kwa bei hiyo. Achilia mbali hata ule wa LAKI SI PESA bado haupo maaana LAKI kwa sasa ni kipando
 
Mkuu no comment endelea na biashara, ikifika siku ukaskia MILIONI SI PESA! Ndiyo siku utuza hilo gari kwa bei hiyo. Achilia mbali hata ule wa LAKI SI PESA bado haupo maaana LAKI kwa sasa ni kipando

unataka liuzwe kwa bei gani tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…