Isuzu Freelander ni gari nzuri au magumashi

Umetumia kanuni gani kusema kluger, vanguard sijui RAV4 ndio ya maana? Kwanini usiorodheshe bmw X7, Mercedes Benz GLS, RR ghost au Bentley. Mwenzio anataka Mitsubishi outlander. Hilo ndo la maana kwake
Kanuni niliyotumia ni kigezo cha kimataifa cha rating.Hiyo gari ina rating karibia zero kwenye vigezo karibia vyote kuanzia safety,performance,stylish,comfortability na kadhalika.
 
Yaani umekosa magari ya maana kama vile Kluger,Vanguard,RAV4,Subaru forester,Honda CR-V,Nissan X-trail,Suzuki Escudo,harrier na kadhalika hadi ununue Isuzu?
Honda,Subaru forester na hata Nissan extrail bado vimeo tu usimpoteze
 
Honda,Subaru forester na hata Nissan extrail bado vimeo tu usimpoteze
Ambayo siyo kimeo ni yapi?Umetumia kigezo gani kuyaita ni kimeo?Unaelewa kuwa kwa mujibu wa forbes Honda CR-V ndiyo gari namba tano iliyoongoza kwa ubora na kwa kuuzwa duniani kwa mwaka 2020?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…