Isuzu nkr & mitsubishi canter ipi inafaa zaidi kwa biashara ya kubebea maji?

Isuzu nkr & mitsubishi canter ipi inafaa zaidi kwa biashara ya kubebea maji?

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
4,156
Reaction score
1,862
Wakuu naomba kwa wenye uzoefu watujuze juu ya uimara na ubora wa gari hizo mbili. Ni ipi inaweza kufaa zaidi katika biashara ya kubebea maji maeneo ya Mbezi beach na salasala Dsm?
 
Mkuu hivi hata Mbezi beach wana shida ya maji kiasi cha kutegemea maji ya kununua?
 
mitsubish canter ,inafaa na engine ni nzuri.e.g Fuso ni model ya mitsubish na tumeona jinsi ilivyokubalika Tz ktk secta ya ubebaji mizigo.
 
Back
Top Bottom