M mjasiria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 4,156 Reaction score 1,862 Mar 3, 2011 #1 Wakuu naomba kwa wenye uzoefu watujuze juu ya uimara na ubora wa gari hizo mbili. Ni ipi inaweza kufaa zaidi katika biashara ya kubebea maji maeneo ya Mbezi beach na salasala Dsm?
Wakuu naomba kwa wenye uzoefu watujuze juu ya uimara na ubora wa gari hizo mbili. Ni ipi inaweza kufaa zaidi katika biashara ya kubebea maji maeneo ya Mbezi beach na salasala Dsm?
G gudchaz Member Joined Sep 1, 2010 Posts 10 Reaction score 0 Mar 5, 2011 #2 Mitsubishi Canter ndo iko poa sana...
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 456 Mar 5, 2011 #3 Mkuu hivi hata Mbezi beach wana shida ya maji kiasi cha kutegemea maji ya kununua?
K Kinombo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2007 Posts 331 Reaction score 34 Mar 6, 2011 #4 Ni tabu tupu ndoo sasa ni tzs 300
newmzalendo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 1,385 Reaction score 568 Mar 6, 2011 #5 mitsubish canter ,inafaa na engine ni nzuri.e.g Fuso ni model ya mitsubish na tumeona jinsi ilivyokubalika Tz ktk secta ya ubebaji mizigo.
mitsubish canter ,inafaa na engine ni nzuri.e.g Fuso ni model ya mitsubish na tumeona jinsi ilivyokubalika Tz ktk secta ya ubebaji mizigo.