Hivi amesema inafaa kubeba taka au inafaa kubebwa kama taka?Ugonjwa wa Moyo
Nimecheka sanaa aisee, gari ipo juu ya mawe ila bado unaiuza
Tena unaruhusiwa kwenda na Fundi wakoNimecheka sanaa aisee, gari ipo juu ya mawe ila bado unaiuza
Acheni kupotosha wakuu, kama hauna nia ya kununua kaa kimya tu. Gari inatembea hiyo tena inawaka yenyewe tu jino moja msidanganywe na body. Hiyo gari kwa sasa inafanya kazi ya kubeba taka Dar. Nyie mnaozodoa ukute wengine mnalala sebuleni kwenye nyumba za mashemeji zenu
nikiudhika huwa sikosi kuingia jf. ni mwisho wa matatizo ya akili.Hivi amesema inafaa kubeba taka au inafaa kubebwa kama taka?