It and computer programers

mleke muache

New Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
4
Reaction score
0
HEY WANAJAMMII NAOMBE MNISAIDIE NMESOMA COMPUTER LANGUAGE C, NAMEJARIBU KUTENGENEZA PROGRAM ILA NASHIMNWA KUWEKA USER INTERFACE
npen darasa katka hilo plz
 
HEY WANAJAMMII NAOMBE MNISAIDIE NMESOMA COMPUTER LANGUAGE C, NAMEJARIBU KUTENGENEZA PROGRAM ILA NASHIMNWA KUWEKA USER INTERFACE
npen darasa katka hilo plz

Subiri wataalam wa C, C++, C# na Java waje watakuelimisha zaidi.

Mi niko zangu na CSS labda na vi-JavaSripts kidogo
 
HEY WANAJAMMII NAOMBE MNISAIDIE NMESOMA COMPUTER LANGUAGE C, NAMEJARIBU KUTENGENEZA PROGRAM ILA NASHIMNWA KUWEKA USER INTERFACE
npen darasa katka hilo plz
Huwezi kutengeneza user interface kwa c programming labda ingekuwa c++ ungeweza kutumia framework kama QT .
 
Kuna vitu ambavyo bado hujaviweka wazi zaidi, hiyo program tayari inaweza ku-run? na ina-run kwa mazingira yapi? windows application au Console application? lakini kama ni suala la kuwa na user interface hiyo itakuwa ni windows application I think. lakini tumia software zifuatazo kudesign user interface ambazo ni Code Block IDE, Glade IDE, Gtk+ au Libglade Library. hizo zitakusaidia katika kutengeneza user Interface katika C programming. ila programming software ambayo ni rahisi na inajitegemea na una uwezo wa kutengeneza User interface humo humo bila ya kuhitaji msaada wa nje ni Visual basic, lakini hii itahitaji kila mtu anayetaka kuitumia awe amesha install .NET Framework 3.5 au zaidi.

thanks.
Staryte - Education, Entertainment & Development - Elimu, Burudani na Maendeleo
 
Mm ni m2 ambae nimesoma computer maintanance lakin ni m2ndu sana wa comp na nakuwa najisomea sana ktk internet so naitaji kujuwa kutengeneza program ni2mie program gan co kuna program nai2mia inaitwa PE EXPLOR lakin niyakuedit prgrm 2 na cjuwi kui2mia vyema so ningeomba na hi nifahamishwe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…