Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa thanks dadMiss you too .hongera kwa ujasiri wa kununua simu mwenyewe kipindi hiki cha corona. Ukipata majanga kama hayo tushtue tutainuana mpaka upate simu mpya mpwa
Ahaa Tacno tu[emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Hiyo avatar imesababisha niungue chaiKweli wezi si watu wema haha... walichukua simu Kama yao...bt thanks Lord I'm back,maana na Covid-19 hii kuBuy a new phone ni ujasiri[emoji1751] ... I real miss you Guys [emoji8][emoji8]
Mbona we hukuninunulia mie si mdogo wako..Si ungemwambia bae akununulie?
Nimekupenda mrembo..😉
wewe mtoto mzuri hivyo hutakiwi kutumia TECNOAhaa Tacno tu[emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Kawaida by nimeridhika atlist
Sent using Jamii Forums mobile app