Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
hello JF,
Mkuu Rais hiki ni kipindi chake cha pili na cha mwisho kuongoza.
Binafsi nadhani tutaona mambo mengi moto moto yakipelekwa Chato.
Kipindi cha kwanza alifanya mambo mengi Chato ila alikua anafanya hayo huku akiweka uchaguzi unaofuata in mind.
Ndio maana mambo mengine aliyafanya kipindi kilichopita huko Chato aliyabania mwishoni.
Ghafla baada ya kupata urais tunaona miradi mikubwa mikubwa kumbe ilikua inaendelea huko Chato.
Sasa he has got nothing to loose, kipindi chake ni cha mwisho, na attitude yake ilivyo, tegemea mambo makubwa zaidi kufanywa Chato.
Watanzania ndio mjifunze kuchagua kiongozi sahihi.