It is me Baba Lynn .....

babalynn

Member
Joined
Jul 31, 2008
Posts
21
Reaction score
1
waungwana najitambulisha na kuchukua nafasi hii kujiunga nanyi, nataraji kuelimika na kuelimisha kwa yale tutakayochangiana.........

asanteni sana kwa post moto moto
 
Lynn hajambo?
....karibu sana JF..hapa hutakiwi kuwa na jazba ni kukata ishu tu...kubali kutokubaliana.....
 
Lynn hajambo?
....karibu sana JF..hapa hutakiwi kuwa na jazba ni kukata ishu tu...kubali kutokubaliana.....

Wewe nawe kwa kutest zali mapema...aaah...hivi unadhani Lynn ni binti? akiwa kidume je?
 
Karibu sana Baba Lynn, jisikie upo nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…