It is official: Ccm bado wameamua kuendela kuizika tanganyika

It is official: Ccm bado wameamua kuendela kuizika tanganyika

ATUGLORY

Senior Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
166
Reaction score
27
😡Sasa ni wazi, CC ya CCM imeamua kuendeleza ubabe kwa kupinga uwezekano wa kuanzishwa serikali ya Tanganyika, Nilidhani wameridhia hiyo hoja maana Rasimu ilitakiwa iwe imepitiwa na wakulu na kupata Baraka zao, kabla ya Kutolewa hadharani na Mh. Warioba. Wakuu tuanze kujiandaa jinsi ya kupigania hoja ya Tanganyika Isimame, Hakikisha umemwona mwakilishi wako wa baraza la wilaya la Katiba na kumwelewesha umuhimu wa kuwepo Serikali ya Tanganyika, Mpigie simu mbunge wako toka Tanganyika bila kujali ni wa chama gani cha siasa na ueleze msimamo wako kwamba unataka asimamie hoja ya Tanganyika. mpigie simu, andika E-mail kwa ndugu jamaa na marafiki nao uwahimize wafanye hivyo. It can still be done, Just play your part.
 
Back
Top Bottom