Ndg zangu wana wanazuoni,pitapita ya website ya vyuo vyetu tanzania,nikawa nimeangukia chuo cha st joseph university branch of arusha,nikakuta tangazo LINALO RUHUSU WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE KUJIUNGA NA DEGREE KWA MDA WA MIAKA 5. Kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza kusikia hichi kitu nilibaki mdomo wazi nikijiuliza maswali mengi 1:is it possible? 2: is it official? 3: is it recognized?
MY TAKE: elimu zetu zinachezewa na watu wachache waliojaza matumbo na kusahau kabisa uthamani wake kwa taifa ili la tanzania,