Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Ninapoandika andiko hili asubuhi,Mfukoni ni fedha TASLIM SHILING 5000,Benki nina Pesa Kidogo,Vijiasset kidogo sana,Madeni Makubwa sana na Malengo Makubwa sana.Najua hata wewe unayesoma hii unaweza kuwa na hali kama yangu,Kwa ufupi I am broke.I have been broke all my life so it is not something new.Uzuri ni kwamba I get my meals,I have a roof over my head,My kids are in school,and life keeps moving.BUT I AM AS BROKE AS I HAVE BEEN.
Mimi nina bahati sana,Daima Mungu amekuwa akinijalia BARAKA zake hata katika nyakatia mbazo sikutarajia alinionesha ukuu wake na hata mpaka wakati huu.Mimi nilianza kujifunza kuhusu dini nikiwa Darasa la tatu,Nilisoma Biblia hasa zile za Wagidioni,Nikasoma simulizi za watakatifu wa kale,Nikasoma vitabu vya HELLEN WHITE,Nikasoma majarida mbalimbali ya dini siasa na burudani.
Nilisoma encyclopedia, Nilisoma, Vitabu vya Karl Max,Walter Rodney,Charles Dickens,Doyle,Julius Nyerere,Chinua Achebe,Ngugi,Wole Soyinka,Dan Brown etc kabla sijafikisha umri wa miaka 18. Nilikuwa msomaji wa vitabu ila sikuwa mnunuaji wa vitabu na hata mpaka leo mimi sio mnunuaji wa vitabu nafikiri na hali ya uchumi inachangia.Ila nilisoma vitabu vingi sana.Kitabu changu cha kwanza kununua kilikuwa ni cha Management Information Systems.Nilinunua 7000 katika meza za hawa jamaa wanaouza vitabu used.
Nilianza kujifunza computer nikiwa na miaka 13,Kipindi hicho tunatumia floppy disk.Nimejifunzia kompyuta ambayo ilikuwa haiwaki kwa kutumia daftari flani ambazo zilikuwa zina picha za Komputa kwa nyuma. Ndio haikuwa inawaka so nilikuwa najifunza kutype by imagination mradi tu vidole vitulie na mimi nibofye.Kisha nikawa exposed kufahamu kuhusu internet cafe,na jinsi ya kuhack timewatcher. Nikawa natumia muda mwingi na pesa nyingi kwenye internet cafe.Huko Nikatengeneza email yangu ya Kwanza, Nikajifunza vitu vingi sana hata kuangalia porn videos nilijulia huko huko.Enough of me.Nataka kukwambia nini?
Ninachotaka kukwambia ni kwamba,wakati nilipokuwa nafanya haya yote ilikuwa out of curiosity,ila sikujua kwamba nilikuwa nafanya jambo kubwa sana "I WAS CHANGING MY MIND"Katika vitabu nilivyokuwa nasoma,mambo nilokuwa nayafanya I was actually Changing My mind,for the better or for the worse. Sasa hebu fikiri kwamba ningekuwa nafanya hayo yote objectivelly ningekuwa na mchango gani kwa taifa na ulimwengu.Unfortunately pamoja na kwamba nilifanikiwa kubadili fikra zangu lakini najua kwamba ningekuwa objective ningekuwa tofauti sana. Over the years I have acquired so many skills but I have never been objective,deliberate or intentional.I was changing my mind for the sake of it.
When I went College,where I dropped of multiple times,I had a very serious problem.Niliona kwamba walimu walikuwa shallow sana na ahawakutupa room ya kuwa deep.Hilo nililiona hata wakati niko skuli ya sekondari na hata msingi.Ukiuliza swali mwalimu anakwambia huko bado hatujafikia and to me that was a dumb answer.So the Library became another home for me.Mwalimu akianzisha topic, Mimi naimaliza yote.Ukinianzia Micro-economics-Mimi namaliza kabisa nawatafuta original authors na vitabu vya zamani sana.I was changing my mind but it was for the sake of Changing it and nothing more. Some teachers and lecturers liked my approach but did not understand me.When it came to exams,I think I was a poor student.I never took exams seriously,hata those times when I passed,Its when the exam was really tough and required alot of thinking than remembering.I could think well but that was the end of it.WHY BECAUSE in my pursuit of Knowledge I was not objective,I was acquiring knowledge for the sake of it.
I do not consider myself a looser nor do I judge anyone who is like me but I know for sure that If I had some objectivity in ally my pursuit,things would be different.
Najua kuna ambao nawachanganya ninapochanganyia maneno but kiswahili ni kigumu,kingereza ni kigumu so tunakaa kati kati.
Katika maisha yako unaweza kuwekezakatika maeneo mbalimbali,ila uwekezaji katika ubongo,akili,fikra na mtazamo wako ndio uwekezaji mkubwa kabisa unaoweza kuufanya. Hata kama utakuwa tajiri kama au zaidi ya Bezos wa Amazon,kama maendeleo ya ubongo wako hayatakuwa katika level ya juu basi hutaweza kujua kama wewe ni wa level za Bezos. Usiwe na hofu katika safari ya kutafuta utajiri kuna mambo mengi utajikuta unayafanya na kujifunza na hayo yote yatakuwa yanakujenga "YOU WILL BE CHANGING YOUR MIND" ila bado utakuwa kama mimi tu.
Baada ya utangulizi huo mrefu sasa niweke ujumbe mkuu.Anza leo kubadlisha fikra na mtazamo wako with OBJECTIVES,WITH PURPOSE,WITH INTENTION, DELIBERATELY.Ili kuweza kufanya hivyo hakikisha kila unachokifanya unakipa sababu kubwa ya kwa nini unakifanya.Na usipokifanya pia una kipa sababu.Usifanye mambo makubwa bali fanya mambo madogo madogo tu.Usiandike uzi mrefu kama huu bali weka malengo ya kuandika uzi wenye mistari 3 kwa siku, au anza kwa kuweka coment fupi fupi au hata kwa kulike.hakikisha tu kuwa unafanya purposefully yaani ukiwa na malengo maalum.
Kama ni kitabu soma taratibu, Usitaki kusoma vitabu vingi kama mimi,I read on average 8 books per month ukiondo nyuzi za jf,Magazeti,international news na novels.On average nasoma vitabu 150 kwa mwaka ingawa huwa sihesabu vyote.Some books are not worth counting because they are just words with no message.
Kumbuka kwamba IF YOU ADD OBJECTIVITY AND PURPOSES IN YOUR LIFE,YOU WILL SEE YOURSELF BECOMING A DIFFERENT PERSON VERY FAST.
Did you like the article.Drop me an email through masokotz@yahoo.com and let me know what you think or just drop a comment.
Tuendelee kumuenzi Magufuli kwa kuchapa kazi