It is what it is. The man aliyekuwa na mikanda yake last time leo anatia huruma yuko mikandaless!! Thats life, nyuma geuka wa nyuma wa kwanza!

Huyu mpopo ameshapiga hela hana hasira tena
 
Huyu mpopo ameshapiga hela hana hasira tena
Akichukua na hii ndo atapiga hela mbaya kabisaaa... Maana kila akaemtaka wapigane yeye Ruiz ndio atakua anakula kubwa kuliko!
 
Kwann sana Ruiz anapata kidogo wakat mikanda anaye yeye
Walikubaliana tangu mwanzoni kwamba kutakuwa na mapambano mawili , yeyote atakaye shinda lazima akubali rematch na kwa kuwa AJ kipindi hicho alikuwa yupo juu ndio maana alipata asilimia nyingi zaidi kuliko mwenzake.
 
Kwa sababu hii re-match ni muendelezo wa ile match ya kwanza... Means, mikataba yote ilifanywa mechi ya kwanza..!!
Kibiashara jina la Aj ni zaidi hata ya Wilder au Fury jamaa mapambano yake anajaza sana sasa huyu chibonge nani alikuwa anamjua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…