MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Endelea kufikiria tu ila ujue kuwa nitakuzungusha hadi pale CCM itakapoondoka madarakaniDuh! Hii topic imenifanya nifikirie kitu flani hivi.
heheheh lawyer bana! Eti unazuga.........lako hilo kama si lako la jirani yako!!!heheeh mlengwa atajiju!!! acha nisepe
MJ1 kwahiyo nikitumia nguvu nyingi kukupigia misele utanipenda kiukweli na kunikubali kwa moyo mkunjufu, yarabiii leo lazima nikutumie PM 100 utanikoma, asante Sir Isack Newton umenisaidia sana na hiyo The First Law of Themo-Dynamic Energy hapa MwanajamiiOne lazima aingie king atake asitake dah ngoja nitoke ndukii kabla mheshimiwa Mbu hajaja hapa kikasanuka..
hehehe hii sredi itawakamatisha wengi, hebu msome husninyo hapo juu.heheheh lawyer bana! Eti unazuga.........lako hilo kama si lako la jirani yako!!!
MJ1 kwahiyo nikitumia nguvu nyingi kukupigia misele utanipenda kiukweli na kunikubali kwa moyo mkunjufu, yarabiii leo lazima nikutumie PM 100 utanikoma, asante Sir Isack Newton umenisaidia sana na hiyo The First Law of Themo-Dynamic Energy hapa MwanajamiiOne lazima aingie king atake asitake dah ngoja nitoke ndukii kabla mheshimiwa Mbu hajaja hapa kikasanuka..
Lol....ngoja nikuandalie Manguree wikiendi maana najua tunakaribia kusherekeAMJ1 nakusalimu
Daaahh
Hii topic Leo ni kali kwa kweli.
Binafsi najiweka upande mwingine.
Nikimaanisha ukimtongoza mtu kwa muda
na unaona kabisa anakuzuga "usizidi ku poteze muda wako zaidi."
Hii pia inawezakuwa usumbufu kwa
Unaemtongoza na we unajipa matumaini
Ya uongo.
Unless otherwise amekwambia
Umsubiri hapo sawa. .
Au mmekubaliana..
Unaweza ung'ang'anie kisicho chako. ..
Tongoza mtu hakupi direction au muelekeo
Fulani cheza mbele ..
Ndoo hayo tu
Asante. ..
Hukuilelewa vizuri, wavulana msikate tamaa maana unavyotumia nguvu nyingi kumpigia misele nguvu inatransfer down kwa hiyo na wewe utajilipa zaidi.
Si mnakumbuka na 3rd law, action and reactin are equal and opposite. Yaani nguvu utakaotumika na mdomo kuongea ni equal na nguvu itakayotumia na kinanii nanii kufaudu.
Muwe mbayuwayu, changanyeni na za kwenu...
Nadhan unamzungumzoa MJ1 mwingine! Mimi sijatongozwa bkwa muda sasa. Hii nimeiweka hususan kwa wapenz wa sasamaana wengi wanalalamika kuzungushwa na staki natakaMJ1 nahisi kama kuna mtu umemzungusha na unahisi kuwa anaelekea kukata tamaa, na wewe una mfeel, sasa unajaribu kumu inkareji ili asi giv'ap..!