It manager anahitajika - arusha

salosalo

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
598
Reaction score
280
kWA WALE WENYE PROFESSIONAL YA IT/COMP SC, IT - manager mwenye bachelor na uzoefu usiopungua miaka 3, hasa kwenye hospitality industry (Hotelini) anahitajika pale Snow crest Hotel mjini Arusha. hoteli iko Kwangulelo barabara ya kwenda Moshi. Maombi yapelekwe kwa mkono hapo hotelini au kwa njia ya posta kwa anuani ifuatayo kabla ya tar 15 July 2012.

General Manager
Snow crest Hotel & Wild life Safaris
P.O.Box 341
Arusha
 
Asante kwa taarifa hiyo watu wa Arusha changamkeni acheni kulalamika vijana tufanyeni kazi. Hii nchi kwa sasa ni kila mtu ajipiganie mwenyewe hakuna mtu wa kukusaidia so ukiona tangazo changamka usitoe udhuru eti wana mtu tayari, yawezekana mtu mwenyewe ni wewe.
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…