hello! girls....!
sijakata katamaa kumtafuta ninaye mtaka licha ugumu wa kazi hii ambayo kimatendo ni rahisi ila kiuhalisia ni ngumu kupita maelezo....! hii ni fursa tena nyingine kumtafuta seroius dada kwa mahusiano rasmini, sifa awe na elimu ya sekondari angalau ana kazi ya kujikimu....! mlango haupo wazi kwa magori keepers, ni kwa mdada aliye serious and aggressive na maisha basi na pia awe na uwezo wa kuona fursa...! mimi ni graduate na self employed you're wellkamu.
I BELIEVE THAT; "struggle is optional, Pain is inevitable"