IT professionals Certifications

Darwin james

Member
Joined
Oct 18, 2023
Posts
26
Reaction score
24
Habari wana jukwaa,

Naulizia ni Certifications zipi zipo kwenye Market ambazo watu walioko kwenye field ya Computer Science/IT-related field wanapaswa kuzisoma na kuzipata ili waendane na competence kwenye field hiyo.

Pia Naomba msaada wa namna gani ya kuzi acess (Kuanza kujifunza), Period (Muda) wa kozi husika mpaka kumalizika, Sites (website) zinazotoa hizo certifications na gharama zake zikiwa converted (in Tanzanian shillings).
 
Networking, Cyber security, Machine learning, Mobile app development, Web all development and robotics mda sijui ila site bora ya Networking ni netacard (Cisco) pia kwenye development kuna Udemy last mtu wa IT hua anatajitafutia mwenyewe sababu ni passion yake kujua so ukitaka mpaka bei uconvertiwe basi kasome Human resource
 
CCNA , CISA hz zenyew ziko vp ? naomba kueleweshawa boss
 
Unataka nini kwanza yaani muelekeo wako. Lazima uwe na specialization huwezi kuwa daktari wa kila kitu.
1. Database
2. Network
3. Infrustracture server /storage
4. Programming/sw development
5.Cyber security

Hivi navyo vina sub domain zake. Na source itategemea unataka nini.
 

Hapo muelekeo wangu upo kwenye Network na Database.
 
Hizi hapa courses niliweka na ni za bure Cisco kwa kuanzia....

 
Asante sana mkuu Kwa ku share
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…