Melinvestcooper
New Member
- Mar 19, 2022
- 4
- 3
karibu mkuuShukran sana mkuu
Ntakuja kwako kupata mbili tatu
Nakushauri uainishe aina za services unazoweza kufanya remote
Hii haiwezekeni mkuu Remote control service n kwa softwares not hardwaresunaweza kubadilisha RAM kwenye hiyo remote service
Bilashaka ni mtu mmoja mwenye id 2 tofautiTunaikubali kazi yako kaka utafika mbali pambana