Wana JF naomba kama kuna mtu mwenye kujua small Enterprisecompany dealing with IT na haswa kwenye kazi za kutoa Technical support hapo ZNZ ambayo naweza kushirikiana nayo/ nae kwenye kazi ani PM au email kwenda rakeyescarl@yahoo.ie. Sio lazima awe na ofisi ili mradi kama anaweza kuwa na leseni na ujuzi.