IT Systems and Network Analyist required

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
He/SHE must be between 25--30years of age, holder of first degree or adv. Diploma in IT, have experience of 2-3 years in IT, certified in MCITP or CCNA.

Salary range : 1.5-2m take home.

Email me your CV. If you are interested through donpapaa@gmail.com
 
!??? only that kaka!??? more info pliz...
 
hiyo E-mail address ndo nanitia mashaka sana.. usikute unataka kusanya CV za watu tu hapa
 
hata mie napata wasiwasi juu ya kazi hiyo, naomba utoe info. za kueleweka mkuu
 

I don't have 2-3 years, have about 6 months experience in networking field,a ccna on my way to becoming a ccnp with a BSc Eng in Computer Science and Technology....If you are serious pm me we can talk the details......curious about the email address though!
 

mh! ikotatizo hapa 6 Month na uan CCNA duh! elimu ya kibongo hii,
kwa vyovyote hi ni NGUINI tu hakuna PRACTICAL hapa!
ni sawa na wale wanao maliza Degree na Kuunga master hata experience ya kazi hamna!
 

Hebu mnaoweka nafasi za kazi muwe serious kidogo. Wengine ni jobless na wako keen kutafuta kazi kila zikitangazwa kuendana na qualification zao.
jina na historia ya kampuni hamna,address&simu ya kampuni hamna, email yenyewe matata kwanza jina lenyewe tu, deadline ya kazi hamna,
hamna maelezo yakutosha kuhusu duties/responsibilities za hiyo kazi.
Uache kuchezea akili za watu ambao wanahangaika kimaisha kutafuta riziki za kila siku kumudu maisha.
 

Sidhani kama Tanzania kuna kampuni itakayoweza kumlipa mtu wa Diploma 2M as take home, hiyo pesa ni karibia milioni tatu ukiwaka kodi (PAYE, NSSF NA HEALTH INSUARANCE) hebu weka ni kampuni gani na job discription!!
 
mh! ikotatizo hapa 6 Month na uan CCNA duh! elimu ya kibongo hii,
kwa vyovyote hi ni NGUINI tu hakuna PRACTICAL hapa!
ni sawa na wale wanao maliza Degree na Kuunga master hata experience ya kazi hamna!

Tatizo ni nini mkuu,kuwa na experience ya 6 months? what about mtu mwenye 0 moths experience hawezi kuomba kazi? ndo maana nimetanguliza kumweka sawa kuwa sina experience ya 2-3 years!So its up to the employer na target ya watu anaohitaji. Au tatizo ni CCNA? Kwa mtu anayesoma bachelor ccna ni kozi rahisi sana,it only took me 1 month to get my ccna. Na kwa muda huo wote baada ya kupata ccna nafanya intern as network engineer in an IT company,sio bongo!..kila mtu ana career plan yake so its not a trend!...
 

mmmh, hiyo degree inatolewa wapi???? bsc eng in ..... na sio bsc in ... or b.eng in ...

hizi elimu bana, we ushapewa e-mail address, halafu unamwambia aku-pm, wewe si ndo um-pm, au umu-email??

 

Mbona nimeeleza wazi? Kuwa tatizo ni PRACTICAL/Experience?
Sio vizuri kuwa CCNA huku una uzoefu wa miezi 6, Ni kweli unaweza kufaulu mtihani lakini Practically ni haijatulia
Ni sawa kuwa na CISA huku huna uzoefu wa atleast miaka 3 , pia hawawezi kukuruhusu kupractice hiyo CISA yako. ila kibongobongo ndio vile!
 
"Elimu ya Tanzania ni Elimu ya Magamba.Uongo?"-Nimemshuhudia IT Manager wa Bank X-hajuikutia file katika USB Stick-!!!-Ivyo wakuu mnaozozana kwa Magamba-Look at this.
 
mh! ikotatizo hapa 6 Month na uan CCNA duh! elimu ya kibongo hii,
kwa vyovyote hi ni NGUINI tu hakuna PRACTICAL hapa!
ni sawa na wale wanao maliza Degree na Kuunga master hata experience ya kazi hamna!

CCNA unaweza kufanya ukiwa shule na ni Certification tofauti na CISA ambayo lazima uwe na experience kwenye System Auditor ndio unakuwa certified hata kama umefaulu mtihani
 
CCNA unaweza kufanya ukiwa shule na ni Certification tofauti na CISA ambayo lazima uwe na experience kwenye System Auditor ndio unakuwa certified hata kama umefaulu mtihani
Thanks kwa maelezo yako. Hapo juu ukisoma utagundua kuwa mimi bado ni mwanafunzi am graduating this year.So about experience in job,I was just trying to make it clear that the only experience I have is of 6 months as a network Intern. Hii ni kwa sababu kupata nafasi ya intern kwenye nchi zingine hizi tunazosoma sio kazi rahisi ila ukiwa na career certification ni rahisi kupata and then you can go on practicing from there!...About kwamba lazima uwe na experience ndo ufanye career certification exams kama microsoft au cisco,hiyo ni ushauri tu lakini sidhani kuwa ina ulazima.Ninapofanya kazi kuna vijana wengine wa hii nchi ambao ni interns kama mimi tunagraduate in summer,wanna ccnp wanajisomea ccie. So I think its just plan,you have to plan as well how to get more practicals.
 
That is obvious halina ubishi. Ni kuwa nilipata ccna nikiwa na zero experience,in october last year when i was in my third year.Plan yangu ilikuwa ni kuwa nikiwa na ccna,in january this year i will look for internship in an IT/engineering company that would help me have some hand-on experience under my belt. And the plan was successful. That is the meaning of 6 months experience in my case..
 
CCNA unaweza kufanya ukiwa shule na ni Certification tofauti na CISA ambayo lazima uwe na experience kwenye System Auditor ndio unakuwa certified hata kama umefaulu mtihani

Kaka sijabisha hili nilichosema ni kuwa sio vizuri kusoma CCNA wakati huna Experience kwani CCNA ipo Practical zaidi ila ukiamua kupiga NGUINI utafaulu tu!
Na nikasema ni sawa na wabongo wanao maliza Degree na kuhunga Master hapohapo pia inakuwa sio vizuri Experience huna bado, Ndio maana kwa vyuoni tuna MA-TUTOR baada ya mwaka au miaka miwili then unasoma Master unakuja kuwa Assistant Lecture nakadhalika.
 

Hongera kijana!
Ila tatizo langu lipo hapo kuwa CCNA ni Practical na wewe huna, Kwahiyo hiyo CCNA yako ni NGUINI tu!
 

Hapo unachemka mzee, kwa mtu mwenye degree networking inakua ishafundishwa kama course, kusomea CISCO , HPQ au JUNIPER basically kipya kinakua ni commands tu za kumanage devices. Siku hizi watu wanapiga hizi course pindi anapokua amemaliza chuo
 
Hapo unachemka mzee, kwa mtu mwenye degree networking inakua ishafundishwa kama course, kusomea CISCO , HPQ au JUNIPER basically kipya kinakua ni commands tu za kumanage devices. Siku hizi watu wanapiga hizi course pindi anapokua amemaliza chuo

Kaka chuo gani hiko kina mtaala huo unaofanana na wa CISCO/HPQ na JUNIPER?
 
Kaka chuo gani hiko kina mtaala huo unaofanana na wa CISCO/HPQ na JUNIPER?

Mkuu hapa haimaanishi mtaala wa CISCO/HPQ or anything else, MachoMakavu anamaanisha Networking as a subject among other subjects,na baadhi ya college mnaingia Net-Laboraory kabisa. CISCO/HPQ & nyenginezo ni kampuni ambazo zina devices(e.g. Routers & Switches) zake zinazodeal na mambo ya Networking,hizo devices zao zina-operate kitaalamu na ndo maana wanatoa mafunzo ya namna ya kuzi-configure, ku-operate,ku-troubleshoot etc. Mafunzo hayo yana levels na unapofuzu level husika then unakua certified(e.g. CCNA, CCNP, CCIE). Sasa unapokuwa umesoma na kujua "What is Network/Networking?",fundamentals & all those things,then inakuwa rahisi Kujifunza hizo course za CISCO etc.

Na ndo maana inashauriwa kuwa na Diploma/Adv.Diplo/Bsc/B Eng in Comp/IT ili kurahisisha usomaji wa course hizo. Hapa experience haina deal kivile,ila experience is recommended between the levels of certification,i.e Una CCNA kwa mfano,fanya kazi za level hiyo kwa mda b4 moving on to CCNP. Likewise for the CCNP, CCIE etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…