IT Systems and Network Analyist required

Atueleze amepata wapi hayo maelezo ameyapata wapi? atupe link km ni kwenye mtandao. Mkuu vipi unataka kukusanya CV za watu nini?
 
Mimi nina CCIE...
 
Mimi nina CCIE...

Kuna level nyingine inaitwa kama Senior Architecture Designer kama sijakosea,ukimaliza CCIE unaweza kujifunza hiyo kitu. Hii haiishii hapo,CISCO wana course nyingi zinazo-deal na mambo ya Voice(CCVP), ISP, Netwoking... Tembelea website yao utapata kila info. Shule haimaliziki ati!!
 

Nadhani aujanielewa kijana anasema amepata CCNA akiwabado yupo chuoni na bado ajamaliza ndio mimi nikamshahuri kuwa sio vizuri kwani hii kitu imekaa kipractical zaidi na sio NGUIN, Ila siku kataaa kuwa ukiamia kusoma unaweza kufaulu hata ukiwa chekechea.
 
Ndugu, wana JF, hiyo kazi ni nzuri and i think everybody especially those people who studies IT, CS, AND Engineering wataipenda sana ila vigezo vilivyotolewa wengi tutashindwa sababu Hiyo ccna hata nikiwa kwa ofisi naweza soma ishu ni arrangement tu na mkiweka experience ya 2 up to 3 yrs mtatuua wana JF, ambao tupo mbioni kugraduate......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…