Mkataba wa six months?? duh..... kazi kweli kwelione post for IT Tech Support at Shell Tanzania Ltd.
Work station will be in Dar es salaam.
Duration; six months renewable
contact: furia.f.felichismo@ksl.shell.com
Duh Hiyo Kasheshe Mbona Hakuna Maelezo Ya Zaida Kuhusu Kazi Hiyo
Ndio Nimeshasoma Sasa Hivi Lakini Ni Vizuri Wakatafuta Kampuni Inayohusika Na Ict Hapo Dsm Waingie Nao Mkataba Mfupi