Ni zaidi ya miezi miwili sasa , kila nikijaribu kutembelea website ya the citizen ile sehemu ya JOBS na TENDERS, nakutana na post za tangu june, Ina maana hao watu hawajui tatizo hilo au wanaamua tu kuiacha hivyo? na kama labda hao ma IT wana uzembe fulani vipi kuhusu hao mabosi wao? ina maana hawajaliona hilo?
Hata kusoma gazeti online inakuwa shida kabisa, hawapo fasta katika kuweka updates zao, kama vipi bora wangeachana na website maana badala ya kuwatangaza inakuwa inadissapint customers kutokana na huduma kutokuwa vizuri online.