Nimeona tangazo lake EATV, kuna new reality tv show about an african family (kardashians style) inaitwa Growing up African, I'm not sure kama familia ni ya kitanzania but it will interesting to see what they are all about, au ndo kuiga mambo ya kina Kim K.