Duuu inasikitisha sana wakuapi wanaosema jogoo la shamba haliwiki mjini? for me ita was a horrible sunday, yaani nilizan TV inanidanganya!!!
all in all BLUE IS STILL A COLOUR..... EN... FOOOTBALL IS OUR GAME... LOVE US THROUGH THE RAIN....... kujikwaaa si kuanguka....
kweli lazima uchanganyikiwe.....chelsea ni timu bora..inaweza kuyumba kama unavyojua.....management imefanya makosa makubwa ya kumuondoa kocha msaidizi......bila sababu nalo ni tatizo...timu imeyumba tutakuwa sawa muda mfupi ujao...