Itabidi nimwambie tu kakangu ukweli

J putin

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
1,263
Reaction score
1,206
Habari wakuu,

Kakangu yuko kwenye ndoa na mke wake yapata miaka 20 sasa,

Kakangu ni mtu wa kusafiri sana kutokana kazi zake,

Shemeji yangu hana shida kabisa,kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kupewa na mume wake,shemeji yangu amepewa kila kitu na hata mimi shem ananiheshimu sana kama shem wake wa pekee hapa mjini ,kakazangu wengine wapo ila nao wanashughuli zao huko mkoani,

Tatizo la shem anaruka sana na wanaume mpaka mimi hii tabia yake nimeanza kuchukia sasa,

Sasa mimi namsubiri kaka yangu arudi kwake ili na mimi nikamwambie uchafu wa mke wake,

Najua hata nikimwambia kaka,hakuna ninayemtegemea kwa sasa,ila lazima niseme ukweli kwa kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama kaka yako anasafiri yeye atakunwa na nani? Mambo ya ndoa hayakuhusu kaoe na wewe ufanye yako
 
Kwa nn usimwambie shemeji yako kabisa live mpaka umwambie Kaka yako mchane huyo kaka ako ndo we mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mimi siwezi kumwambia shem,nataka nimwambia kaka ili akiamua aniite na shem kama shem atakataa nipo tayari kutoa ushahidi na wengine mpaka rafiki yake brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…