First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Nawasalimu wote!
Naamini kwamba ni suala la kupendeza na la heshima kuwa katika mahusiano ya kimapenzi kwa maisha ya kawaida ya binadamu, lakini pia ni suala la kawaida wapenzi kukosana, ila issue inakuja pale hawa wapenzi wanapotumia huu ugomvi kama kudhalilishana, mara o mtu mwenye yuko vile, mtu mwenyewe hata kazi hajui, mtu mwenyewe.......
inakuwa ful kudhalilishana tena hadharani mbele za watu,
Lakini pia inafika mahali hawa wapenzi wanarudiana,
Sasa inapofikia hatua hii jamii inawaelewaje watu hawa??
Hii imekaje wakubwa??