Itakavyokuwa Simba SC 1 - 1 Jwaneng galaxy

Pole kwa kuzimia. Naoma mpk sasa akili haijakaa sawa😀😀😀😀
Malizia dozi za dawa ukae vizuri maana ukiendelea hivi watakupeleka milembe😁😁😁😁😁
 
Binafsi sina shida nao, hasa ukizingatia kaka mzuri wangu ni kolozidad sitaki kumuona akihuzunika.
Tangu ulipozimia, umezinduka naona akili yako haijakaa vizuri.
Malizia dozi ya dawa ndugu maana kuandika hivi unazidi kujionesha hospitali ya milembe inakuhusu tu😁😁😁😁
 
Hivi tukiwatakia mema watani zetu nao wafuzu itakuwa vibaya mkuu?

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Huwa hakuna kitu kama hicho. Na hata ukikutana na post ya mtu anasema " hongera mtani au nakutakia kila la heri mtani" ujue huo ni unafiki. Ushabi wa vilabu imekuwa kama imani. Tutatakiana heri iwapo tu ushindi huo una manufaa kwa timu Yangu
 
Acha tukosane tu lakini kaka mzuri wangu afurahi. Lols
Wasikilize ndugu zao hapa

Your browser is not able to display this video.

Kama wao wanaumia hivi kwa ushindi wetu, SISI NI NANI TUFURAHIE WAO KUSHINDA..!? Wapigwe sana tu, tena kama ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…