Itakavyokuwa Simba SC 1 - 1 Jwaneng galaxy


Weka tena utabiri upya...
 
Hao wapigwe tu..!! Wakishinda wanakujaga kivingine..!! Hawawi walewale tuliowatakia mema..!!
Nakutafutaa sanaaa wee mlongoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui umejifichaa wapiiii, woiiiiiiiih
Unaijua simba weyeee?
 
Halafu na wale wenzao wenye point sita kama wao washinde kwa kishindo kama cha Yanga, ili kolokwinyozi warudi kwao wakakaange samaki..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teseka taratibuu wee babaa jamanii.
 
Mtawaua Hawa Mbumbumbu/Wamatopeni/Kolouzidad Maana Hadi Sasa Wamechanganyikiwa
Umechanganyikiwa wee, sisi robo ni kwetu na CAF wanajua hilo.
Poleeee sana, sijui unateseka ukiwa wapi sahiviii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…