Shule zimefungwa bwasheeHivi una umri gani
Muda mwingine jaribu kidogo kujificha, sio lazima kila mtu ajue kuwa wewe ni hamnazo.Sina umri mkuu, vipi kuhusu wewe una umri gani?
NimeonaπSubirini zifunguliwe
Watoto wa shule wote mwezi huu wako majumbani. Vumilia mhengaHivi una umri gani
hawana la kufanya zaidi ya kuporomosha matusi tuHelooooh
Swali tu hilo na naomba moderator hasifute wala asibadili kichwa cha habari
Chama kikifutwa na msajili wa vyama mtafanyaje?
Chadema kikifutwa kwa kanuni za nchi ninyi mtafanyaje? Wanachama na viongozi wa chadema
Mtasajili chama kingine au mtasusia maswala ya siasa
Mkisajili chama kingine mtakiitaje
Au mtaamia vyama vya siasa vingine
Moderator habari
HahahahaWatoto wa shule wote mwezi huu wako majumbani. Vumilia mhenga
hawana wanaloweza na hakuna mahali wanaenda πWamepanik hatar
Mkuu nafikiri wewe ni mtu aliyejibu swali vizur sana.. ubarikiwe sanaCHADEMA ikifutwa itachukua muda sana kusimama upya kama wataunda chama kipya. Cha muhimu wawe watiifu kwa msajili ili asije kuwatumia kama mfano kwa vyama vingine visivyotii sheria bila shuruti.