mfano cku mungu akasema kila mmoja akamsalimie mpz wake wa kwanza (first lover) ..........hakuna atakaye mkuta wake home mana kila ukifika utakuta naye hayuko kaenda kumsalimia wake na yy huko hamkuti mana na huyo naye kaenda kumsalimia wake wa kwanza yani itakuwa vululu vululu
Hahahaha! Kweli jamani. Mmh, ila mimi wangu labda tutapishana tu njiani.
mmmh!! Hii kali aisee.... Come to think of it...
Ujambo mtoto mzuri?
sijambo chana bateta. Aisee lile pishi sijalielewa wala nini. Kama vipi kamwage maujuzi jukwaa la mapishi.
Ha!haha!..usijali taenda kumwanga..nataka Viza ya Mpwapa ya miezi 6 naweza kupata?
Ha!haha!..usijali taenda kumwanga..nataka Viza ya Mpwapa ya miezi 6 naweza kupata?
Miezi 6!! Si utarudi na kitoto premature kabisa
hahaha! Mkwe umemuona chatu hapo eeh?
Miezi 6!! Si utarudi na kitoto premature kabisa
Jamani si nakwenda kutembea tu likizo..tapata Viza bila barua ya mualiko kutoka Mpwapa?