itakuaje hapa duniani ikiwa kila mtu atatakiwa akamsalimie first lover wake??????

Hahahaha! Kweli jamani. Mmh, ila mimi wangu labda tutapishana tu njiani.
hhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa shoga leo u made ma day
mana kama nawaona mnavopishana loh!
 
Jamani!! Lizzy aliwahi kusema humu uswahili mbaya kuliko ushamba. Sasalikizo bila malipo ya miezi bila ukaenda kijijino lusaidia wazee kulima unataka kwenda kwa watu? Mkwe hapa tutakosana,bora uongeze small house
Jamani si nakwenda kutembea tu likizo..tapata Viza bila barua ya mualiko kutoka Mpwapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…